Blog

UMEWAHI KUWASIKIA VIDUKARI AU WADUDU MAFUTA? (Aphids)

Karibu katika makala zetu na leo hii tunakuletea undani hasa wa aphids maarufu kama wadudu mafuta au vidukari. VIDUKARI/WADUDU MAFUTA Hawa ni aina ya wadudu waharibifu wa mazao ambao hushambulia mimea karibu yote hususani mazao ya mboga mboga. Kisayansi wanajulikana kama Aphis gossypii na kwa Kiswahili ni maarufu kama vimamba, vidukari au wadudu mafuta. Wadudu […]